Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 22, 2018 (Picha na Ikulu)

12 thoughts on “Rais Dkt Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama