Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Amuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, Waziri wa Fedha na Mipangu Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela pamoja na baadhi ya makatibu wakuu na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kumuapisha Bw. Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020

81 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Amuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama