Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Akutana na Viongozi wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea kitabu cha Muongozo wa Sala toka kwa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga. Kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla na kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya TEC kumtembelea Rais Magufuli ili kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla huku Rais wa TEC Askofu Gervas John Nyaisonga (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima wakiangalia baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), Askofu Gervas John Nyaisonga (katikati) na Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima walipotembelea Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Charles Kitima akiwa na Rais wa Baraza hilo Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018. (Picha na IKULU)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *