Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli akutana na Mtendaji Mkuu Wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika Dodoma Leo

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono kwa furaha na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na
Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Africa wakati wa
mazungumzo yao Ikulu Chamwino jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpa zawadi ya kinyago  Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya
Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika  alipokutana naye kwa
mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha na pamoja na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo
ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika na ujumbe wake na Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu wa wizara hiyo Doto
James na maafisa waandamizi wa wizara  alipokutana naye Ikulu Chamwino
jijini Dodoma

 

 

278 thoughts on “Rais Dkt Magufuli akutana na Mtendaji Mkuu Wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika Dodoma Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama