Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC Dr Stergomena Lawrence Tax Ikulu Dar es Salaam leo Oktoba 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC Dr Stergomena Lawrence Tax Ikulu Dar es Salaam leo Oktoba 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC Dr Stergomena Lawrence Tax (wa pili kushoto)Ikulu Dar es Salaam leo Oktoba 8, 2018.


FacebooktwittermailFacebooktwittermail