Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Akutana na Baadhi ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Kaimu Mkurugenzi wa TAKUKURU Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019.(Picha na Ikulu)

119 thoughts on “Rais Dkt Magufuli Akutana na Baadhi ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Kaimu Mkurugenzi wa TAKUKURU Ikulu Jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *