Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aongoza Maadhimisho Siku ya Wafanyakazi Duniani Jijini Mbeya

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wakati wa Maadhimisho sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa, ambapo amewatoa hofu wafanyakazi na kuwahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi kulingana na uwezo wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba na wafanyakazi wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.

Wafanyakazi wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.

Maandamano ya Wafanyakazi yakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.

Maandamano ya Wafanyakazi yakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiongea wakati wa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)

52 thoughts on “Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aongoza Maadhimisho Siku ya Wafanyakazi Duniani Jijini Mbeya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama