
Sehemu ya wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo

Sehemu ya Viongozi wa serikali na wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Joakim M hagama na kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Dkt. Reginald Mengi alipowasili kuendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Joakim M hagama na kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Dkt. Reginald Mengi akijiandaa kufungua mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Pro. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa kikao cha Kumi na Moja cha baraza hilo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Mwenyekiti Mwenza wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Sehemu ya wafanyabiashara wakitoa changamoto zao wakati wa mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam le.
Pingback: generic viagra india
Pingback: coupon for cialis
Pingback: best place to buy cialis online reviews
Pingback: viagra generic
Pingback: cheap viagra
Pingback: buy erection pills
Pingback: online ed medications
Pingback: cheap erectile dysfunction pill
Pingback: sale cialis