Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt.John Pombe Magufuli Afunga Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, JNICC, Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam,Kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 zimehitimishwa rasmi Jijini hapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia Viongozi na wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania katika hafla ya kufunga wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 imehitimishwa rasmi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akizungumza katika hafla ya kufunga wiki ya sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, na kulia waliokaa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Dkt. Eliezer Feleshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga na Viongozi wa Mahakama katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 imehitimishwa rasmi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Mhe.Job Ndugai, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga, Viongozi Wakuu wa Mahakama pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 imehitimishwa rasmi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga, Viongozi Wakuu wa Mahakama pamoja Majaji Wastaafu wa Mahakama katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 zimehitimishwa rasmi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma (mbele kushoto) akiwa na Mjaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tayari kwa ukaguzi wa Gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Askari wa Jeshi wa Polisi wakiwasili uwanjani tayari kwa Gwaride la kuhitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Bendi ya Jeshi la Polisi ikiingia uwanjani tayari kwa ukaguzi wa gwaride uliofanywa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Askari wa Jeshi wa Polisi wakiwa uwanjani tayari kwa Gwaride la kuhitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, gwaride hilo lilikaguliwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, akiwa tayari kukagua gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, akikagua gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, akipata heshima kutoka kwa jeshi la Polisi mara baada ya kukagua gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

228 thoughts on “Rais Dkt.John Pombe Magufuli Afunga Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, JNICC, Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama