Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aagana na Balozi wa Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018

165 thoughts on “Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aagana na Balozi wa Misri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *