Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais .Dkt. Ali Mohamed Shein Azungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, katikatika Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe.Antonio Augusto Cesar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akifurahia jambo wakati akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na mazungumzo leo 7-5-2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,7-5-2019

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,7-5-2019

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Mlango (Zanzibar Door) Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo,7-5-2019.

152 thoughts on “Rais .Dkt. Ali Mohamed Shein Azungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama