Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Prof. Kikula Aongoza Kikao cha Tume ya Madini

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (kushoto) akiongoza kikao cha kazi cha Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma tarehe 15 Aprili, 2020. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya.

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) akielezea mafanikio ya utendaji wa majukumu ya Tume ya Madini kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mary Makondo, akichangia mada kwenye kikao hicho.

Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akifafanua jambo kwenye kikao hicho.

Kamishna wa Tume ya Madini, Dkt. Athanas Macheyeki akielezea namna Tume ya Madini inavyosimamia utekelezaji wa mipango ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye Sekta ya Madini kwenye kikao hicho.

Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini wa Tume ya Madini, George Kaseza akielezea mikakati ya Tume kwenye usimamizi wa masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa madini nchini.

Watendaji kutoka Tume ya Madini wakifuatilia majadiliano mbalimbali yaliyokuwa yanaendelea katika kikao hicho.

61 thoughts on “Prof. Kikula Aongoza Kikao cha Tume ya Madini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama