Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ndege Ya Jeshi la Kenya Iliyobeba Madini Yetu Yatua Uwanja wa Ndege wa JNIA

Ndege maalum ya Jeshi la Kenya iliyobeba Dhahabu ya Tanzania iliyokamatwa Kenya ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhiwa kwa Serikali ya Tanzania ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli atashuhudia makabidhiano hayo Ikulu Dsm kutoka kwa Mjumbe Malalum wa Rais Wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyata.(Picha na Ikulu)

One thought on “Ndege Ya Jeshi la Kenya Iliyobeba Madini Yetu Yatua Uwanja wa Ndege wa JNIA

  • June 12, 2021 at 10:17 am
    Permalink

    40565 450141Aw, this was an exceptionally nice post. In concept I would like to location in writing such as this moreover – spending time and actual effort to create a exceptional article but so what can I say I procrastinate alot via no indicates find a method to go completed. 297043

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama