Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Naibu Waziri wa Madini akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (hawapo pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.

Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.

Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo akiandika swali kutoka kwa Mhariri, Abdalah Majura, wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.

Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.

4 thoughts on “Naibu Waziri wa Madini akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Jijini Dar es Salaam.

 • March 23, 2021 at 5:34 am
  Permalink

  fantastic put up, very informative. I’m wondering why the opposite experts of this
  sector do not notice this. You should proceed your writing.
  I’m sure, you have a great readers’ base already!

  Reply
 • March 28, 2021 at 3:42 am
  Permalink

  I constantly spent my half an hour to read this webpage’s
  articles or reviews daily along with a mug of coffee.

  Reply
 • August 6, 2021 at 6:46 am
  Permalink

  34466 143808Thanks for the weblog loaded with so a lot of details. Stopping by your blog helped me to get what I was seeking for. 263562

  Reply
 • August 26, 2021 at 6:18 pm
  Permalink

  748848 972372Following study several of the weblog posts on your own site now, we truly like your way of blogging. I bookmarked it to my bookmark internet internet site list and are checking back soon. Pls consider my web-site likewise and make me aware in case you agree. 487589

  Reply

Leave a Reply to balance of nature Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama