Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Naibu Waziri Mhe. Shonza Afanya Ziara Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wapili kulia) akiwasili katika Taasisi ya Sanaa na Utamduni Bagamoyo (TaSUBa) kutembelea na kuona shughuli zinazofanywa na Taasisi hiyo leo katika wilaya ya Bagamoyo. Wapili kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watatu kushoto) akikagua maeneo ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) alipofanya ziara katika Taasisi hiyo leo katika Wilaya ya Bagamoyo. Wapili kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza

Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza (katikati) akimuelezea Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) namna vifaa vya muziki vinavyotumika kufundishia wanafunzi wa muziki alipotembela chumba cha kuhifadhi vifaa hivyo wakati wa ziara yake leo katika Taasisi hiyo Wilayani Bagamoyo.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipiga kinanda wakati wa ziara yake katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo katika Wilaya ya Bagamoyo

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watatu kushoto) akimsikiliza Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza (watatu kulia) alipotembelea ukumbi wa maonyesho wa TaSUBa wakati wa ziara yake katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo katika Wilaya ya Bagamoyo

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akimsikiliza mwalimu wa muziki (kulia) alipotembelea darasa la muziki wakati wa ziara yake katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo katika Wilaya ya Bagamoyo

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (waliokaa katikati) katika picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) alipofanya ziara katika Taasisi hiyo leo katika Wilaya ya Bagamoyo
Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM

33 thoughts on “Naibu Waziri Mhe. Shonza Afanya Ziara Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *