Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam
Jumla ya wagonjwa 1004 wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo linalotobolewa katika mshipa mkubwa wa damu uliopo kwenye paja kwa kipindi cha miezi 11na siku 11 .
Upasuaji huo umefanyika kupitia mtambo wa Cathlab ambao ni maabara ya uchunguzi wa matatizo ya moyo na tiba mbalimbali za magonjwa ya moyo uliopo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).
Akiongea na waandishi wa habari leo jiji Dar es Salaam Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya tiba ya moyo alisema hii ni mara ya kwanza kuweza kuwahudumia wagonjwa wengi kiasi hicho tangu kuanza kufanya kazi kwa mtambo huo mwaka 2013 .
“Mwaka jana kupitia mtambo wa Cathlab tulifanya upasuaji kwa wagonjwa 800 kati ya hao watu wazima walikuwa 708 na watoto 92. Kwa mwaka huu ambao bado haujamalizia tumetoa tiba kwa wagonjwa 1000 kama wagonjwa hawa 1000 wangeenda kutibia nje ya nchi Serikali ingetumia zaidi ya shilingi bilioni sita”.
“Haya ni mafanikio makubwa yanayotupa motisha na nguvu ya kufanya kazi zaidi ya kuwahudumia wananchi tumejipanga kwa mwaka 2019 kuwaona wagonjwa 1500 kupitia mtambo huu wa Cathlab”, alisema Dkt. Kisenge
Alisema kati wa wagonjwa 1000 waliotibiwa katika mtambo huo asilimia 70 ni watu wazima na asilimia 30 ni watoto na kuahidi kuendelea kutoa huduma bora za matibabu ya moyo zenye uwezo na kiwango cha juu cha kimataifa kwa kuwahudumia na kuwajali wagonjwa wanaofika katika Taasisi hiyo.
Uchunguzi unaofanyika katika mtambo wa Cathlab ni kuangalia hali ya mishipa ya moyo kwa kuainisha kiwango cha kuziba kwa mishipa hiyo, kuchunguza uwezekano wa mgonjwa kustahili kufanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo na kama upasuaji huo utaweza kumsaidia au hautamsaidia mgonjwa na kuchunguza hali ya utendaji kazi wa vifaa bandia vilivyowekwa ndani ya moyo hususani valvu.
Tiba inayotolewa kupitia mtambo huo ni kuzibua mishipa ya moyo iliyoziba, kupandikiza vifaa saidizi vya moyo vinavyosaidia kuongeza mapigo ya moyo ya mgonjwa yaliyo chini, kupandikiza vifaa maalum vinavyoratibu mapigo ya moyo wenye shida na kutoa tiba inapostahili, kutanua valvu za moyo zilizobana, kuzibua matundu kwenye kuta za moyo na kufanya upasuaji ambatano kwa kuhusisha upasuaji wa kufungua kifua unaoambatana na upandikizaji vifaa kwenye moyo.
Pingback: 10mg viagra
Pingback: buy generic cialis
Pingback: buying cialis cheap
Pingback: Buy branded viagra
Pingback: Buy viagra with discount
Pingback: when will generic cialis be available
Pingback: cialis price costco
Pingback: cheap erectile dysfunction pill
Pingback: gnc ed pills
Pingback: over the counter erectile dysfunction pills
Pingback: cialis 20 mg
Pingback: live casino slots online
Pingback: casino real money
Pingback: herbal viagra
Pingback: online casinos real money
Pingback: real money casino online usa
Pingback: viagra 100mg
Pingback: generic for cialis
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: video slot games for android
Pingback: best casino echeck online
Pingback: real money casino games
Pingback: free slots online
Pingback: tadalafil dosage
send me an email. I look forward to hearing from you!
I’аve read a few excellent stuff here. Definitely price bookmarking for revisiting. I surprise how so much effort you place to make this kind of magnificent informative web site.
Thank you for sharing superb informations. Your website is very cool. I am impressed by the details that you have on this website. It reveals how nicely you perceive this subject.
You have brought up a very superb details , thankyou for the post.
poker bonuses What are the norms of copyright of web content? How as it different from Patent?
Merely wanna state that this is very helpful , Thanks for taking your time to write this.
I truly appreciate this blog article.Thanks Again. Awesome.
Im grateful for the blog post.Really looking forward to read more. Fantastic.
Keep in the excellent function, I read few articles on this website along with I conceive your web blog is incredibly interesting and contains got companies of fantastic info.
It as actually a great and useful piece of information. I am satisfied that you shared this useful tidbit with us. Please stay us informed like this. Thank you for sharing.
thanks for sharing source files. many thanks
Im thankful for the blog article. Great.
Say, you got a nice blog article.Thanks Again. Keep writing.
you ave got a fantastic blog right here! would you wish to make some invite posts on my weblog?
Very good post. I absolutely appreciate this site. Keep it up!
Im obliged for the blog post.Thanks Again. Much obliged.
Just read this I was reading through some of your posts on this site and I think this internet site is rattling informative ! Keep on posting.
Merely a smiling visitant here to share the love (:, btw outstanding design. Individuals may form communities, but it is institutions alone that can create a nation. by Benjamin Disraeli.
Wow, great blog article.Really looking forward to read more. Keep writing.
It as really a nice and helpful piece of info. I am glad that you shared this helpful info with us. Please keep us informed like this. Thanks for sharing.
This in fact answered my problem, thank you!
Major thankies for the post.Thanks Again. Will read on
You made some clear points there. I looked on the internet for the subject matter and found most people will consent with your blog.
You, my friend, ROCK! I found exactly the information I already searched all over the place and simply couldn at locate it. What a great web site.
You have made some decent points there. I checked on the internet for additional information about the issue and found most individuals will go along with your views on this site.
I wish people would compose much more about this while you have done. This is something which is very essential and possesses been largely overlooked through the world wide web local community
we came across a cool website that you just may possibly get pleasure from. Take a look in the event you want
It as hard to come by experienced people on this topic, however, you sound like you know what you are talking about! Thanks
There as definately a great deal to know about this subject. I love all of the points you have made.
You made some decent points there. I looked on the internet for the subject and found most individuals will agree with your blog.
This is a topic which is close to my heart Cheers! Where are your contact details though?