Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Katika Picha Leo Jijini Mwanza

Viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) wakiongoza Mkutano wa wanachamana hao wa mwaka katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) Paschal Shelutete akizungumza na Maafisa hao(hawapo pichani) wakati wa kikao cha mwaka  cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.

 

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Habasi akichangia jambo wakati wa kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.

Mtaalamu wa Mawasiliano Kimkakati Innocent Mungy akiwasilisha mada ya Mbinu za Medani za Kihabari wakati wa Dharura kwa Maafisa Habari wa Serikali katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.

Maafisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.

Maafisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.

211 thoughts on “Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Katika Picha Leo Jijini Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *