Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa SADC Waanza Jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu), Bw. Andrew Masawe(kulia) akiwa na wajumbe wengine wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira kutoka SADC akiendesha Mkutano huo ulioanza leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC utakaofanyika kuanzia Februari 5 hadi 6, 2020.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Masawe akifungua Mkutano wa Makatibu wa Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Mkurugenzi wa Ajira na Ukuzaji Ujuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Bw. Ally Msaki akizungumza katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Wawakilishi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC), wakifuatilia Mkutano wa Makatibu Wakuu kutoka SADC ikiwa ni Mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Mwakilishi kutoka Msumbiji, akiteta jambo na mjumbe wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Mwakilishi kutoka Eswatini akichangia hoja katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania

195 thoughts on “Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa SADC Waanza Jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama