Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini Afanya Ziara Mtwara

Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (kulia) akipokelewa na Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara, Mhandisi Ephrahim Mushi (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi hiyo iliyopo mjini Mtwara Mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara yake yenye lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili ofisi hiyo tarehe 14 Novemba, 2019.

Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara, Mhandisi Ephrahim Mushi akielezea mafaniko ya ofisi yake kwa Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya pamoja na watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani)

Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (katikati) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara

Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya akifafanua jambo kwenye kikao hicho

Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara

25 thoughts on “Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini Afanya Ziara Mtwara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama