Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mke wa Rais wa Zanzibar Azindua Chanjo ya Saratani ya Kizazi Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed.

Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Afya na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani).

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto0 Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico,[Picha na Ikulu.] 10/04/2018.

136 thoughts on “Mke wa Rais wa Zanzibar Azindua Chanjo ya Saratani ya Kizazi Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *