Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali Yawataka Watanzania Kuacha Migogoro Katika Ubia wa Uwekezaji

Naibu Waziri wa madini, Dotto Biteko, akizungumza na akina mama wanaofanya kazi katika mgodi wa shaba wa Mega.

Naibu waziri wa madini, Dotto Biteko(kulia) akipita katikati ya Mbale za shaba zilizoandaliwa tayari kwa kuchenjuliwa.

Naibu Waziri wa madini, Dotto Biteko, akikagua uchimbaji sehemu ya hatua inapopitishwa Mbale ya shaba kabla ya kupatikana shaba halisi.


FacebooktwittermailFacebooktwittermail