
Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Japhet Justine akizungumza katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari(hawapo pichani) kuhusu Mafanikio ya Benki hiyo katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO Jijini Dar es Salaam leo Disemba 12, 2019.
Na Mwandishi Wetu
Serikali ya Awamu ya Tano Chini, Rais Dkt. John Magufuli imejikita katika kuwawezesha wakulima kwani ilitoa zaidi ya Billioni 300 kwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, (TADB) katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake.
Akielezea mafanikio ya Benki hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Japhet Justine alisema kuwa Rais Dkt. Magufuli alitoa pesa hiyo, kwa ajili ya kusaidia sekta hiyo katika shughuli mbalimbali ikiwemo kutoa mikopo kwa Wakulima.
‘’Katika kipindi cha miaka minne cha utawala wa Rais Dkt. Magufuli alituwezesha kutupa mtaji wa zaidi ya Sh. Billioni 300, ambapo mpaka Novemba mwaka huu, tumefanikiwa kutoa kiasi cha Sh. Billioni 148 kwa ajili ya mikopo kwa wakulima’’, alisema Bw. Justine
Justine alisema wakati wanaanzisha Benki hiyo mwaka 2016 Rais Magufuli aliwapa Billioni 60 kama mtaji, lakini waliweza kuizungusha pesa hiyo kwa kutoa mikopo katika vyama mbalimbali vya wakulima ambapo walifanikiwa kurudisha Sh. Billioni 68 kwa muda mfupi.
Aidh Mkurugenzi huyo alisema, pesa hiyo ilijikita zaidi katika mpango wa pili wa Maendeleo ya Kilimo, matumizi bora ya Ardhi na Maji, ambapo mpango huo ulifanikiwa na kutimiza malengo yaliyotarajiwa.
‘’Pesa hiyo ililenga zaidi katika mnyororo wa thamani wa mazao , ambapo Sh. Billioni 10 tulipeleka katika Mifugo, Billioni 1 ilienda ufugaji wa Samaki, Millioni 700 ilienda kwenye Kuku na Billioni 37 zilienda katika Mazao mbali mbali ya biashara’’, alisema Japhet.
Mkurugenzi huyo alisema, kutokana na mpango huo watu Millioni 1.6 wamefanikiwa kutokana na huduma zao hivyo katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa Rais Magufuli Benki hiyo pamoja na wadau wake wamepata mafanikio makubwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine akifafanua jambo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Mafanikio ya Benki hiyo katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO Jijini Dar es Salaam leo Disemba 12, 2019.
Aidha Mkurugenzi huyo alisema, mbali na kutoa mikopo kwa wakulima lakini wamekuwa wakiwasaidia kutafuta masoko hivyo inawarahisishia kuwa na uhakika wa masoko ya mazao yao.
Mkurugenzi huyo alisema katika kuimarisha kilimo na kumpa mkulima nyenzo bora, Benki hiyo imekuwa ikitoa matrekta pamoja na mashine za kuvunia mpunga kwa wakulima.
Aidha Mkurugenzi huyo alisema, mbali na pesa hizo, Benki hiyo ilitoa pesa nyingine kiasi Sh. Billioni 35 mkopo kwa Viwanda 13 vya kuchakata mazao ya Kilimo.
Japhet alitaja baadhi ya viwanda vilijengwa kutokana na mkopo huo ni pamoja na kiwanda cha Alizeti kilichopo Kahama, kiwanda cha kuchakata mafuta kilichopo Manyoni na kiwanda cha kusindika Chikichi kichopo Kigoma.
Aidha Mkurugenzi huyo alisema TADB baada ya miaka minne ya mafanikio, inatarajia kuweka nguvu zaidi na kuyaongezea thamani mazao ya Pamba na Mkonge kwani yalikuwa yakiingiza pesa nyingi miaka ya nyuma hapa nchini.
‘’Kwakweli TADB tuna nia ya dhati ya kurudisha thamani ya zao la Pamba na Mkonge, enzi za Mwalimu Nyerere, mazao haya yalikuwa yakiingiza pesa nyingi hapa nchini, lakini kadiri miaka ilivyosonga na mazao yalikuwa yakishuka’’, alisema.
Mkurugenzi huyo alisema Benki hiyo, inataka kufanya mapinduzi makubwa katika mazao hayo kwani wanatarajia kufufua viwanda vya kutengenezea nguo, kiwanda cha kutengeneza magunia.
Japhet amewataka Watanzania waache kuwaza kilimo cha zamani na badala yake wajiingize kwenye kilimo cha kisasa, kwani sekta hiyo hivi sasa ni biashara kubwa ambayo inawatoa watu wengi.
Mkurugenzi huyo alisema, licha ya kuwa benki hiyo kuwa na mafaniko hayo katika kipindi cha miaka minne, lakini bado kuna changamoto ya masoko, hivyo wanatarajia kushirikiana na taasisi zilizo katika mnyororo wa thamani ndani ya Afrika Mashariki na nchi zilizo kusini mwa Afrika (SADC) katika kutafuta masomo hayo.
Pingback: viagra price usa
Pingback: ciprofloxacin drug
Pingback: generic ventolin inhalers for sale
Pingback: naltrexone drug
Pingback: can you buy viagra online
Pingback: cialis buy
Pingback: chloroquine virus
Pingback: order hydroxychloroquine
Pingback: erectile dysfunction pills
cheap ed pills from canada https://viatribuy.com/
Pingback: bimatoprost ophthalmic solution 0.01% generic
meds online without doctor prescription http://www.cialij.com/
Pingback: canada pharmacy discounted viagra 100
Pingback: buy chloroquine phosphate
bimatprost https://carepro1st.com/
cialis 10 mg tablet http://cialisoni.com/
cialis reviews cialis for sale tadalafil
tadalafil 20 mg http://loncialis.com/ cialis online pharmacy
mba thesis help with a thesis statement thesis statement help
what would happen if a girl took viagra alternative viagra natural alternative to viagra
cheap tadalafil http://jocialisrl.com/ generic tadalafil
order custom paper order custom paper do my paper
dissertation writing advice http://dissertationhelpxvf.com/ writing dissertation
best place to buy a research paper http://researchpapersgaa.com/ need help with writing a research paper
buy essay cheap online http://buyessayhelpvwe.com/ cheap custom essay papers
writing the thesis thesis proposals writing a graduate thesis
custom paper http://writemypaperbuyxvv.com/ paper writer
azithromycin otc https://azithromycinx250.com/
best essay writer company http://customessaywritershb.com/ custom essays toronto
essay service http://essaywritingservicefav.com/ cheap essay writing services
best essay writing service reviews help me write my essay college essay service
cephalexin 500 mg price https://keflex.webbfenix.com/
walmart viagra 100mg price http://droga5.net/
amoxicilina 500 mg dosage https://amoxycillin1st.com/
cheap cialis cialis without a prescription cialis soft
liquid cialis how to take cialis cialis dosage
cialis tadalafil cialis daily cialis soft tabs
viagra pills viagra for sale buy viagra cheap
cialis generic name what is cialis is there a generic cialis available?
cheapest brand viagra buy viagra uk viagra natural
cialis cost tadalafil cialis cialis cost
Pingback: Viagra 50mg otc
Pingback: Viagra 130mg without prescription
Pingback: Viagra 100mg over the counter
Pingback: Cialis 80 mg cost
Many thanks. A lot of facts.
https://englishessayhelp.com/
Pingback: Cialis 80mg cheap
Viagra and Cialis are besides secondhand to treat pneumonic arterial high blood pressure (PAH) nether the sell name calling
Revatio (sildenafil 20-mg tablets and 10-mg/12.5-mL single-utilize vial injections) and Adcirca (Cialis 20-mg tablets).
Although alternative roles exist for these agents, PDE5 inhibitors for
the handling of ED are the focal point of this brush
up. http://lm360.us/
Superb facts. Kudos.
writing narrative essay dissertations online writing help for kids
Kudos! I appreciate this!
canadian pharcharmy online no precipitation aarp approved canadian online pharmacies drugs without prescription
Cheers, An abundance of facts.
buy essay online for cheap essays writing services dictionary dissertation
You said it perfectly.!
gre essay writing thesis paper personal statement writing services
safe canadian pharmacy canadian pharmacy is canadian pharmacy legit
You reported it really well!
how to write dialogue in an essay help writing thesis statement writers help
Reliable posts. Cheers.
mexican pharmacies shipping to usa canada pharmacy online online medicine to buy
With thanks. A good amount of advice.
best online essay editing service help writing thesis law dissertation
Wow all kinds of excellent tips! canada pharmaceuticals online cvs online pharmacy online discount pharmacy
http://www.loansonline1.com payday loans online fast deposit
https://www.withoutvisit.com viagra online without prescription
http://www.loansonline1.com online payday loans no credit check
https://cialis20walmart.com venta de cialis en valencia
https://viagrabun.com – canadian pharmacy
Pingback: calcium carbonate 500mg nz
http://canadian5pharmacy.com canada drugs online reviews
Pingback: casodex 50mg no prescription
Pingback: casino games win real money
You actually suggested it fantastically! recommended essay writing service my homework thesis requirements
Pingback: hard rock casino online
health care reform problems in 2018 signs and symptoms heat stroke
https://www.kamagramama.com – kamagra 100mg oral jelly usa
Pingback: zanaflex 2mg tablets
http://canadianvolk.com
Cheers. An abundance of write ups., cialis reviews Ohyaail.
как войти на гидру через тор представляет собой магазин, который создан для продавцов незаконных вещей и сервисов. Такого типа продукцию неприлично достать в простом интернет-магазине, поскольку это противозаконно.
Pingback: zyvox 600mg united kingdom
Pingback: sildenafil online
Pingback: cheap tadalafil 60 mg
Pingback: escitalopram coupon
board of pharmacy best canadian online pharmacy ed meds online
http://bambulapharmacy.com
Pingback: spironolactone 100mg coupon
best ed medication family pharmacy erectile dysfunction medications
Pingback: donepezil 10mg nz
free local dating sites,free dating
online dating free,free dating http://freedatingste.com/
https://tadalafilrembo.com – free cialis coupons
Pingback: loratadine 10mg without a prescription
Pingback: generic levitra and cialis in australia
Pingback: clozapine 100mg pills
Pingback: where can i buy rosuvastatin 5 mg
http://canadian2pharmacy.com
Pingback: cheapest fluconazole