Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Akutana na Waziri Mhe. Ummy Mwalimu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Februari 26, 2019.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kabla ya mazungumzo, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Februari 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

143 thoughts on “Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Akutana na Waziri Mhe. Ummy Mwalimu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *