Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt John Pombe Magufuli apiga Kura Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Pombe Magufuli akitumbukiza karatasi ya kupiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma

9 thoughts on “Rais Dkt John Pombe Magufuli apiga Kura Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *