Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio ya Kuvunjwa kwa Bunge la 11 Katika Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Jijini Dodoma, wakati akiwasili Bungeni hapo kwa ajili ya shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Mohamed Shein (kulia) pamoja na Marais wa Awamu zilizopita mara baada ya kuisha kwa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma leo Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali pamoja na Marais wa Awamu zilizopita mara baada ya kuisha kwa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma leo Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali mara baada ya kuisha kwa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma leo Jijini Dodoma.

 

586 thoughts on “Matukio ya Kuvunjwa kwa Bunge la 11 Katika Picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama