Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika Picha: Ziara ya Waziri Mkuu Wilayani Mkinga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Veronica Msaki ambae amejifungua mtoto wa kike Doreene (pichani) katika Kituo cha Afya cha Maramba wilayani Mkinga. Mheshimiwa Majaliwa alitembela wodi ya wazazi katika kituo hicho, Machi 2, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga wa Kituo cha Afya cha Maramba wilayani Mkinga, Dkt. Kidai Nyaleja wakati alipotembelea chumba cha upasuaji katika kituo hicho, Machi 2, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Maramba wilayani Mkinga baada ya kutembelea kituo hicho, Machi 2, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa CCM Maramba wilayani Mkinga, Machi 2, 2020.

Baadhi ya wananchi wa Maramba wilayani Mkinga wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Maramba akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tanga, Machi 2, 2020.

144 thoughts on “Matukio katika Picha: Ziara ya Waziri Mkuu Wilayani Mkinga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama