Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri Mkuu Wami Dakawa Morogoro Ulipojengwa Mnara wa Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine

 

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mnara wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliopo Wami Dakawa wilayani Mvomero, akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


FacebooktwittermailFacebooktwittermail