Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri Kairuki Kiwanda cha Kuchakata Betri Chakavu

Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akitoa maelezo ya malighafi zinazochakatwa kwa ajili ya kutengeneza betri kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki alipotembelea kiwandani hapo Januari 23, 2020 katika Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani.

Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki mazingira ya kiwanda hicho alipotembelea kiwandani hapo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani Jnuari 23, 2020.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki pamoja na timu aliyoambatana nayo katika ziara ya kukagua kaiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN kilichopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.

Meneja wa kiwanda cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akisoma taarifa ya kiwanda hicho kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki.

50 thoughts on “Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri Kairuki Kiwanda cha Kuchakata Betri Chakavu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama