Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Ziara ya Dkt. Abbasi na TAGCO

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akifafanua jambo katika ziara yake ya kutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Itifaki, Uhusiano na Umma wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Gaston Makwembe akifafanua jambo katika ziara iliyofanywa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ya kutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji hilo.

Dkt. Hassan Abbas akifafanua jambo katika kitengo cha utalii cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Dkt. Hassan Abbas akiwafafanulia jambo Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Hedwiga Swai akielezea mfumo wa matumizi ya mashine ya Imaging Resonance Magnetic (IMR) katika chumba maalum cha uchunguzi wa magonjwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, leo Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Patrick akionesha mfumo unaotumika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wa kuingiza majina na maelezo ya wagonjwa na mpango wa kuwahudumia kupitia kompyuta.

Mtaalam wa kutumia CT scan mashine akielezea jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi na idadi ya watu inayohudumia kwa siku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es Salaam.

245 thoughts on “Matukio Katika Picha Ziara ya Dkt. Abbasi na TAGCO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama