Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika Picha: Waziri Mkuu Bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Ladislaus Nyongo, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Buhigwe, Albert Obama, Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, Mbunge wa Viti Maalum, Ester Mahawe, Mbunge Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza, Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *