Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha, Waziri Mhagama Alipotembelea Idara na Vitengo Vilivyopo Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa afisa  wa hifadhi ya jamii wa Ofisi hiyo Bw. Saimon Mwanjala wakati alipotembelea Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuona utendaji wao leo jijini Dodoma.kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu  Bw. Peter Kalonga.

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bw.     leo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo kujipnea jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.

 

Mmoja wa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama leo mjini Dodoma wakati alipotembelea Vitengo na Idara zilizopo chini ya Ofisi hiyo.

 

Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu wakimsikiliza . Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati  wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo kujipnea jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.

 

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu  Bw. Peter Kalonga akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi hiyo.

36 thoughts on “Matukio Katika Picha, Waziri Mhagama Alipotembelea Idara na Vitengo Vilivyopo Ofisi ya Waziri Mkuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *