Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika Picha: Waziri Jenista Mhagama Afanya ziara Miradi ya Nyumba ya NSSF Kigamboni na kutoa Maagizo kwa Bodi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa Wizara, Andrew Masawe wakitembelea miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) na kuagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akitoka kwenye moja ya nyumba za miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) zilizoko Kijichi Wilayani Kigamboni ambapo ameagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi, Wengine ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Andrew Masawe na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Wiliam Erio.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akiwa katika mradi wa Nyumba wa Dungu ulioko Wilaya Kigamboni Jijini Dar es Salaam, alipotembelea kujionea utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa mwaka jana, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.

Mradi wa Nyumba wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF) zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni kama zinavoonekana kwenye picha, Nyumba hizo zimekamilika isipokuwa miundombinu yake, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko Ndungu Wilayani Kigamboni, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.

235 thoughts on “Matukio katika Picha: Waziri Jenista Mhagama Afanya ziara Miradi ya Nyumba ya NSSF Kigamboni na kutoa Maagizo kwa Bodi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama