Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha: Waziri Dkt.Mpango katika Siku ya Takwimu Afrika, 2019.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango akizungumza na Washiriki wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Waziri amatoa maagizo kwa Ofisi ya Takwimu (NBS), na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufanya kazi kwa kushirikiana.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika na Washiriki wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’

Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Jijini la Dar es Salaam wakifuatilia Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 28, 2019.

Watakwimu kutoka Sehemu mbalimbali nchini wakifuatilia Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 28, 2019, kauli mbiu ilikuwa ni ya Mkutano huo ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’

Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Amina Msangi Akizungumza katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’

Watoa mada wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika Wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango, alipokuwa akifungua mkutano huo leo katika Kituo cha Mikutano Cha Kimataifa JNICC Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Msaidizi-Idara ya Ajira na Ukuzaji Ajira, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.Ahmed Makbel akichangia mada katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’.

Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Bi. Elizabeth Talbert akichangia mada katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’.

Mwanafunzi Zingatia Fadhili kutoka shule ya Wasichana Kisutu akiuliza swali katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’.

Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango na watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Insha katika Siku ya Takwimu Afrika, iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango na watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi kutoka Tambaza Sekondari waliohudhuria katika Siku ya Takwimu Afrika iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango na watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi kutoka Chuo cha Takwimu cha Mashariki mwa Afrika waliohudhuria katika Siku ya Takwimu Afrika iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

95 thoughts on “Matukio Katika Picha: Waziri Dkt.Mpango katika Siku ya Takwimu Afrika, 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama