Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Rais Magufuli Akiweka Jiwe la Msingi Skuli ya Mwanakwerekwe Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na viongozi wengine
wakipata maelezo juu ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe
mjini Zanzibar kabla ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce
Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki
Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe
mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar
baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya
shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
na Mwakilishi wa Benki ya Dunia akifunu pazia kuashiria kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar
baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya
shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolosjia wa Jamhuri ya
Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini
Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolosjia wa Jamhuri ya
Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini
Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri
ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakipata picha na wanafunzi
wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya
Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la
msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za
miaka 56 ya Mapinduzi.

PICHA NA IKULU

166 thoughts on “Matukio Katika Picha Rais Magufuli Akiweka Jiwe la Msingi Skuli ya Mwanakwerekwe Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama