Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Mkutano wa Mawaziri SADC

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na Waandishi wa Habari mala baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua Mabanda ya Wajasiriamali na Taasisi mbalimbali katika Maonyesho ya Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akitazama Burudani ya Ngoma kutoka kikundi cha Jeshi la Magereza mala baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.

242 thoughts on “Matukio Katika Picha Mkutano wa Mawaziri SADC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama