Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili wa Vyama vya Siasa.Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mtungi akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa (ORPP) kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020. Kulia  ni Maafisa Utumishi wa ORPP, Bibi Eneja Mwakanyamale na Happiness Muyombo.

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye pia ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Mohamed Ali Ahmed akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020. Kutoka kulia ni Katibu wa Baraza hilo Bibi. Prudensia Kwabila na kushoto ni Mwenyekiti wa THUGHE Tawi la ORPP, Bw.Salim Mokiwa

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Magohu Zonzo akijibu hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Magohu Zonzo akijibu hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.

Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bibi. Edina Assey akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa(ORPP) kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.

Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bw. Abuu Kimario akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa(ORPP) kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakifuatilia Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.

Msajili wa Vyama vya Sisa, Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mutungi (watatu kutoka kushoto) na Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye pia ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Mohamed Ali Ahmed (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) mara baada ya kumaliza kikao hicho leo tarehe 10/01/2020 jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa – ORPP).

32 thoughts on “Matukio Katika Picha Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *