Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Maadhimisho Siku ya Chakula Duniani Mkoani Singida

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akipata maelezo namna ya kuhifadhi mazao kutoka kwa Afisa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) alipotembelea banda la NFRA katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) alipotembelea banda hilo katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili (katikati) akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa kudhiti sumu kuvu alipotembelea banda la Taasisi inayoendesha Mradi huo jana mjini Singida katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019.

: Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akisikiliza maelezo kuhusu lishe alipotembelea baadhi ya mabanda katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)S

156 thoughts on “Matukio Katika Picha Maadhimisho Siku ya Chakula Duniani Mkoani Singida

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama