Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Kuelekea siku ya UKIMWI Duniani


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi. Dorothy Mwaluko akizungumza masuala ya maandalizi ya kuelekea siku ya UKIMWI duniani (Desemba 1,2020) alipokutana na waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano wa ofisi yake Jijini Dodoma, Novemba 20, 2020.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) Dkt. Leonard Maboko.

3 thoughts on “Matukio Katika Picha Kuelekea siku ya UKIMWI Duniani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *