
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiongoza timu ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina kuwapokea Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika Ofisi za Msajili wa Hazina, walipotembelea kuona utendaji kazi wa Ofisi hiyo Mirambo jijini Dar es Salaam, leo Februari 13, 2020.

Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti walipotembelea kuona utendaji kazi wa Ofisi hiyo Mirambo jijini Dar es Salaam, leo Februari 13, 2020.

Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati wa Ziara ya Kibunge ya kutembelea na kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Ofisi ya Msajili wa Hazina, leo Februari 13,2020 Jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mjini, Andrew Chenge akichangia hoja katika kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti kilichofanyika leo Februari 13, 2020 jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Jimbo la Muheza , Adadi Rajabu akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti, kilichofanyika leo Februari 13,2020 jijini Dar es Salaam.
Hello there! This post could not be written any better! Reading this post reminds me of my old room mate! He always kept chatting about this. I will forward this write-up to him. Fairly certain he will have a good read. Many thanks for sharing!|