Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Septemba 5, 2019

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akisisitiza jambo kwa  Mwanasheria mkuu wa Serikali Prof. Aderladus Kilangi Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019

Mwanasheria mkuu wa Serikali Prof. Aderladus Kilangi akisisitiza kuhusu hatua zinazofuatwa katika kutunga kanuni zinazosimamia uchaguzi wa Serikali za dert köşesi canlı dert köşesi dert ortağı canlı bahis sex hattı Mitaa wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.

Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akisisititiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuzuia uharibifu wa mazingira hapa nchini wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe akisisitiza jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.

Sehemu ya wageni waliofika Bungeni kwa ziara ya mafunzo wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.

Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa akieleza mikakati ya Serikali katika kuendelea kuwezesha kaya masikini hapa nchini leo Septemba 5, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akieleza mikakati ya Serikali katika kuinua michezo hapa nchini leo Bungeni Jijini Dodoma.
                                                                                                  (Picha zote na MAELEZO)

26 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Septemba 5, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *