Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Mjini Dodoma Leo

Mweyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akisoma dua ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Chuo kikuu cha Dodoma kwa mwaka 2015/2016 kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu(watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Dk.Christine Ishengoma akiuliza swali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Joseph Kakunda akitolea ufafanuzi maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Nchemba Mhe.Juma Nkamia wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Kangi Lugora akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhe.Juma Aweso akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalah Ulega akiotolea ufafanuzi maswali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

71 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Mjini Dodoma Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *