Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo Mei 14, 2019

Mwenyekiti wa Bunge mhe Nagma Giga akisisitiza jambo kwa wabunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wan chi Ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji Mhe Angellah Kairuki Bungeni Jijini Dodoma leo.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa inawainua wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao.

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na mbunge wa viti maalum mhe Salma Kikwete leo Bungeni Jijini Dodoma.

Sehemu ya wageni waliofika Bungeni leo wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akisisitiza kuhusu maboresho yanayofanyika katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).(Picha zote na Frank Mvungi)

98 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Leo Mei 14, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama