Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akizungumza mara baada ya Bunge kurejea Jijini Dodoma. Spika ametoa Taarifa fupi kuhusu King’ora cha hatari kilicholia kuashiria hali ya hatari  Bungeni  kuwa hakukuwa na hatari yeyote.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof .Palamagamba Kabudi akijibu hoja mbalimbali za wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe.Musa Sima akijibu maswali mbalimbali ya wabunge Bungeni leo Jijini Dodoma.

 

Katibu wa Bunge Mhe.Stephen Kagaigai akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe,Jenista Mhagama,Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema wakati Bunge lilipositishwa kwa muda baada ya King’ora cha kuashiria hatari  kulia leo Bungeni Jijini Dodoma.

Wageni mbalimbali wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiuliza swali leo Bungeni Jijini Dodoma.

64 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *