Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Mbunge wa Urambo Tabora, Magreth Sitta, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Prosper Mbena, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibamba, John Mnyika kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe, kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail