Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Bungeni katika Picha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa, Bungeni jijini Dodoma leo Mei 3.2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 3.2019.

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akifurahia jambo na Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Stella Ikupa, Bungeni jijini Dodoma Mei 3.2019

124 thoughts on “Matukio Bungeni katika Picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama