Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Bungeni katika Picha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019, katikati ni Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019, katikati ni Mbunge wa Longido, Dkt. Steven Kiruswa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2019 / 2020, Bungeni jijini Dodoma Mei 7.2019

One thought on “Matukio Bungeni katika Picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama