Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matilda Bryson Ashinda Taji la Miss World Deaf Fashion Model 2019

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akisalimiana na mama Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Winfrida Brayson mara baada ya kumpokea mrembo huyo nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019. akitokea nchini nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019. (Picha na WHUSM –DSM)

Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Winfrida Bryson akiwapungia mkono wananchi (hawapo pichani) mara baada ya kuwasilili nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019. kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya viziwi ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.

Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Winfrida Bryson akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayehusika na walemavu, Stella Ikupa (kulia aliyekaa) pamaoja na ndugu jamaa na marafiki mara baada ya mrembo huyo kuwasili nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019 kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya viziwi ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.

Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Matilda Bryson mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019 kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.

Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Matilda Bryson akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayehusika na walemavu, Stella Ikupa (kulia aliyekaa) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2010 kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.

Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Matilda Bryson akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayehusika na walemavu, Stella Ikupa (kulia aliyekaa) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019 nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019, kulia ni mshiriki mwenzake Grace Mtui na katikati ni KATIBu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mungereza .

One thought on “Matilda Bryson Ashinda Taji la Miss World Deaf Fashion Model 2019

  • July 27, 2021 at 10:41 am
    Permalink

    I used to be able to find good information from your articles.

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama