Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mama Salma Kikwete Mgeni Rasmi Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Mkoani Dar

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.

IMG_3627

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuyapokea maandamano ya akina mama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.

IMG_3624

Wafanyakazi akina mama kutoka Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete wakifuatiwa na Jeshi la zimamoto.

IMG_3709IMG_3730

Wafanyakazi kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi

Wafanyakazi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakipita huku wakishangilia kwa furaha mbele ya mgeni rasmi.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa wanawake na maendeleo wakati wa kudhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015.

IMG_3817 IMG_3818 IMG_3820 IMG_3822 IMG_3823

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.

IMG_3822

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya mkoa wa Dar es Salaam kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi na Afisa Tawala wa Mkoa Mama Theresia Mbando (katikati) wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi iliyotolewa na akina mama kutoka moja ya wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

IMG_3901 IMG_3902

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa kimkoa katika viwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015.

IMG_3998

Mke wa Rais Mama Salma Kikwee akitembelea mabanda ya maonyesho ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wanawake katika Mkoa wa Dra es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitazama vijarida mbalimbali vinavyotolewa na wanawake katika mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na nmasuala ya tafiti mbalimbali.

FacebooktwittermailFacebooktwittermail