Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mama Janeth Magufuli Afanya Mazungumzo na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa Ikulu Leo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

301 thoughts on “Mama Janeth Magufuli Afanya Mazungumzo na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa Ikulu Leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama