Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Watembelea Mradi wa Reli ya SGR

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiwa kwenye picha ya pamoja mbele ya handaki linaloaza kuchorongwa ikiwa ni moja ya maeneo waliyopitishwa na wataalamu ikiwa ni sehemu ya ziara yao inayoendelea katika mradi wa SGR kutoka Dodoma-Dar

Kazi ya uchimbaji wa njia ya chini ya kupitisha Reli ikiwa inaendelea

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakishuhudia uchongaji wa barabara ya chini ambapo Reli ya Kisasa (SGR) inapita.

Kazi ya uwekaji wa Mataruma ya Reli ikiendelea

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiwa kwenye kiwanda cha kuzalisha Mataruma kilichopo eneo la Soga.

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiingia katika moja ya handaki itakapopita Reli ya Kisasa (SGR)

Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakishuhudia muonekano wa ndani wa handaki ambalo limekwishakamilika.

104 thoughts on “Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Watembelea Mradi wa Reli ya SGR

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama